Back to home
Vijana wahusishwa kwenye mbio za baiskeli za kuhamasisha umma dhidi ya mihadarati Malindi
video
C
Citizen TV (Youtube)December 8, 2025
2h ago
Wavulana wadogo kutoka miji ya Malindi na Mombasa wameshiriki kwenye mashindano ya kuendesha baiskeli kama njia ya kuwahamasisha wenzao katika Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kulevya.
Mashindano hayo yalifanyika katika bustani ya Malindi water front huku Mpango huo ukiwa wa kwan
Advertisement



