Back to home

Mbunge wa Mosop Abraham Kirwa arejea nyumbani baada ya kuwa ughaibuni akipokea matibabu kwa miaka 2

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 8, 2025
2h ago
Shangwe na majonzi ya furaha zilisheheni kijiji cha Kimong, eneo bunge la Mosop katika kaunti ya Nandi baada ya viongozi wa kisiasa kujumuika na wakazi kusherekea na kumkaribisha nyumbani mbunge wao Abraham Kirwa ambaye amekuwa ughaibuni akipokea matibabu kwa takriban miaka 2 sas
Advertisement