Back to home
Kipute cha Jomvu chakamilika ambapo mechi iliandaliwa uwanja wa Jomvu Mikanjuni
video
C
Citizen TV (Youtube)December 9, 2025
1d ago
Timu ya Inter Milan kutoka Jomvu ilibuka mshindi kwenye michuano ya finali ya Kombe la Seth Opolo baada ya kuibwaga Boda Boda Fc mabao 2-0, kwenye mechi iliyoandaliwa katika uwanja wa Jomvu Mikanjuni.
Advertisement
Advertisement





