Back to home

Waziri Ali Joho asema wakazi watalipwa fidia kwenye mpango wa kuchimba madini Ikolomani

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 10, 2025
1h ago
Waziri wa madini na uchumi wa baharini na maziwa Ali Hassan Joho amesema kuwa wizara hiyo itahusisha umma katika mazungumzo ya kutatua mzozo ulioibuka kuhusu mpango wa kuchimba madini ya dhahabu eneo la Ikolomani kaunti ya Kakamega.akiongea baada ya kutia saini mkataba wa makubal
Advertisement