Back to home

Dhuluma za jinsia zaongezeka katika kaunti ya Garissa

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 10, 2025
1h ago
Mashirika ya kijamii kutoka kaunti ya Garissa wanalaumu asasi za usalama kwa kukosa kukomesha visa vya utekaji nyara vinavyoendelea katika sehemu nyingi za kaunti hiyo.
Advertisement