Back to home

Mwanahabari Willis Raburu ashtaki kampuni mbili kwa kukiuka mkataba wa makubaliano

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 10, 2025
8h ago
Mwanahabari na mshauri wa mawasiliano ya kidijitali Willis Raburu amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya kampuni mbili akidai kulipwa shilingi milioni 10 kufuatia madai ya uvunjaji wa mkataba kuhusiana na Tamasha ya Furaha City iliyofanyika Desemba 2024.
Advertisement