Back to home
Masikonde awashtumu polisi kwa kumdhulumu
video
C
Citizen TV (Youtube)December 11, 2025
16h ago
Bunge la Kaunti ya Narok liligeuzwa kuwa uwanja wa mabishano wakati mwakilishi wadi wa Narok Town Douglas Masikonde alipokuwa akitoa hotuba yake ya shukrani kwa kuchaguliwa kuwakilisha wakazi katika bunge hilo. Masikonde alionekana kuwazomea maafisa wa usalama waliomvamia nyumban
Advertisement
Advertisement




