Back to home

Wakazi wa mtaa wa Showground Mjini Kapsabet wanalalamika utovu wa usalama

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 11, 2025
1d ago
Wakazi wa mtaa wa Showground mjini Kapsabet katika kaunti ya Nandi wanalalamikia utovu wa usalama ambao wanasema umekithiri kwenye mtaa huo na kuwahangaisha kwa muda mrefu sasa.
Advertisement