Back to home

MASKANI | Matokeo ya KJSEA [Part 3]

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 11, 2025
1d ago
Matokeo ya thathmini ya KJSEA kutolewa alasiri. Wanafuzi kuteuliwa kwa sekondari ya juu disemba 15 Rufaa za uteuzi kuwasilishwa disemba 23- januari 6 Wanafunzi kujiunga na sekondari ya juu januari 12, 2026
Advertisement