Back to home

Wakimbizi wa Somalia huko Kiunga Lamu wataka vitambulisho

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 11, 2025
1d ago
Wakimbizi kutoka nchi jirani ya Somalia Raskiamboni wanoishi kijiji cha Kiunga, mpakani mwa Kenya na Somalia kaunti ya Lamu wanaiomba serikali kuwapa vitambulisho vya Kenya ili wapata uraia.
Advertisement