Back to home
Serikali ya Makueni ilipiga marufuku uzoaji mchanga mitoni
video
C
Citizen TV (Youtube)December 11, 2025
1d ago
Wakazi wa maeneo ya Kima, kawese na mangala katika eneo la Kilome kaunti ya Makueni wameitaka serikali ya kaunti hiyo kukabiliana na watu wanaozoa mchanga kinyume cha sheria za kaunti hiyo na kuendelea kuharibu mazingira. Wakazi hao sasa wanasema shughuli hiyo imesababisha mito
Advertisement
Advertisement





