Back to home
Kamati ya kupokea malalamishi ya umma yaagiza taka zizolewe Mombasa
video
C
Citizen TV (Youtube)December 11, 2025
12h ago
Kamati ya kitaifa kuhusu malalamishi ya mazingira imetoa makataa ya wiki mbili kwa kampuni zinazotupa taka katika majaa ambayo si halali kuondoa takataka hizo mara moja.
Advertisement
Advertisement




