Back to home

KJSEA yawaacha wengi njia panda; wizara yatoa ufafanuzi wa alama nane za juu

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 11, 2025
6h ago
Matokeo ya kwanza ya KJSEA yamewaacha wengi katika njia panda kuhusu maana na hata kuelewa matokeo hayo. Waziri wa elimu Migos Ogamba alitaja ngazi tofauti za matokeo hayo ambayo yana jumla ya alama nane katika kila somo, ikiwa ndio alama ya juu zaidi
Advertisement