Back to home
Duale aonya kuhusu ulaghai wa SHA; bilioni 1.9 zimetumika huku pesa nyingi zikipotea
video
C
Citizen TV (Youtube)December 14, 2025
4h ago
Waziri wa afya Aden Duale ameelezea wasiwasi na ongezeko la visa vya utumizi mbaya wa bima ya afya ya SHA, akionya kuwa ulaghai wa hospitali za kibinafsi umeathiri huduma katika hospitali za umma haswa eneo la kaskazini mwa Kenya. Akizungumza katika eneo la Habaswein kaunti ya Wa
Advertisement
Advertisement





