Back to home

Taasisi ya Mtaala yaondoa hofu ya uhaba wa vitabu vya gredi ya 10

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 15, 2025
4h ago
Taasisi ya Mtaala nchini iliwaondolea wazazi na wanafunzi hofu kuhusu uhaba wa vitabu kabla ya mpito wa wanafunzi wanaojiunga na sekondari ya Juu. Taasisi ya KICD ikikiri kuwa vitabu bado havijachapishwa kutokana na madeni ya wachapishaji vitabu, imeshikilia kuwa serikali iko kwe
Advertisement