Back to home

Wavuvi Kilifi washauriwa kudumisha usafi wasikose soko la samaki

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 15, 2025
4h ago
Mkurugenzi wa taasisi ya Utafiti wa Samaki na Viumbe wa Majini nchini KMFRI Dkt. Paul Orina amewataka wavuvi kudumisha usafi wakati wa uvuvi na utayarishaji wa Samaki.
Advertisement