Back to home

| Ukumbi | Matarajio ya 2026 [Part 1]

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 15, 2025
3h ago
Tunaangazia utendakazi wa serikali mwaka huu Mambo ambayo wananchi wanatarajia mwakani Rais Ruto aliahidi kujenga Kenya kama Singapore Wakenya wengi wanalalamikia hali ngumu ya uchumi Serikali iliongeza ushuru wa mlipaji kodi mwaka huu
Advertisement