Back to home
Mvulana wa miaka 20 apigwa risasi na maafisa wa polisi eneo la Kilindini, Tana River
video
C
Citizen TV (Youtube)December 15, 2025
3h ago
Viongozi kutoka kaunti ya Tana River wamekashifu vikali mauaji ya kijana mmoja mwenye umri wa ishirini aliyepigwa risasi na polisi na kuwauwa papo hapo katika eneo la Kilindini.
Kisa hicho kilitokea wakati kijana huyo alipojaribu kuzuia maafisa wa polisi kumkamata mwenzake ambay
Advertisement
Advertisement



