Back to home
Martha Koome aelezea wasiwasi wake kuhusiana na ongezeko la ajali za barabarani
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 15, 2025
2h ago
Baraza la utawala wa haki nchini yani NCAJ, likiongozwa na jaji mkuu Martha Koome limeelea wasiwasi wake kuhusiana na ongezeko la ajali za barabarani ambapo zaidi ya watu elfu nne wamefariki mwaka huu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday
Advertisement
Advertisement





