Back to home

Wakaazi wa Eldoret wapewa msaada wa chakula kuwawezesha kusherehekea Krisimasi

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 15, 2025
3h ago
Mamia ya wakazi kutoka eneo la Langas jijini Eldoret wana kila sababu ya kutabasamu kufuatia mpango wa kutoa msaada wa chakula uliolenga kuwezesha familia zisizojiweza haswa akina mama na watu wanaoishi na ulemavu angalau kuwawezesha kusherehekea Krisimasi. Subscribe and watch
Advertisement