Back to home

Kenya yaendelea kuongeza idadi ya medali zake katika Michezo ya Afrika inayoendelea mjini Luanda

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 15, 2025
3h ago
Kenya imeendelea kuongeza idadi ya medali zake katika Michezo ya Afrika inayoendelea mjini Luanda, Angola, baada ya mwanamichezo wa gofu, Belinda Wanjiru, kushinda medali ya fedha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. G
Advertisement