Back to home

Rais Ruto amemtunuku Truphena Muthoni tuzo ya HSC baada ya kuvunja rekodi ya kukumbatia mti

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 15, 2025
3h ago
Rais William Ruto amemtunuku mwanamazingira Truphena Muthoni tuzo ya pongezi ya rais ya HSC, baada ya kuvunja rekodi ya kukumbatia mti kwa saa 72 mfululizo.
Advertisement