Back to home

Familia ya boda boda aliyepatikana amefariki Kawangware yaomba uchunguzi wa polisi na IPOA

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 15, 2025
4h ago
Familia ya muhudumu wa boda boda aliyepatikana amefariki katika kituo cha polisi cha Kawangware Jack Leon Maloba, sasa inawataka maafisa wa ipoa na wale wa upepelezi kubaini kilichotokea. Hii inafuatia upasuaji wa mwili wake ulioonyesha alifariki kwa kukosa hewa baada ya kupatika
Advertisement