Back to home
Umeme wa mvua ulioandamana na radi waua mwanamke kijijini Ngor'ngoroi Elgeyo Marakwet
video
C
Citizen TV (Youtube)December 16, 2025
5h ago
Familia moja katika eneo la Ngor’ngoroi, eneo bunge la Marakwet Magharibi Kaunti ya Elgeyo Marakwet, inaomboleza kifo cha mpendwa wao aliyeuawa na umeme wa mvua ulioandamana na radi.
Advertisement
Advertisement




