Back to home
Gavana Otichilo atia sahihi miswada kuwa sheria Vihiga
video
C
Citizen TV (Youtube)December 16, 2025
5h ago
Gavana wa Kaunti ya Vihiga Dkt Wilber Otichilo ametia sahihi miswada mitatu katika serikali ya Kaunti ya Vihiga inayotarajiwa kuanza kutumika kama sheria katika sekta mbali mbali.
Advertisement
Advertisement









