Back to home
KCB FC waibuka kileleni mwa ligi baada ya ushindi wa 4-2 dhidi ya APS Bomet
video
C
Citizen TV (Youtube)December 16, 2025
8h ago
KCB Fc wamerejea kileleni mwa ligi kuu ya Kenya baada ya kutoka nyuma mara mbili na kuwafunga APS Bomet kwa mabao 4-2 katika uwanja wa Kasarani. Posta Rangers walijiunga na KCB kileleni wakiwa na pointi 21 baada ya sare tasa dhidi ya Bandari Fc
Advertisement
Advertisement





