Back to home
Fyona Wanjiku wa miaka 21 anahitaji figo ya tatu ambapo ana mahangaiko ya kupata figo
video
C
Citizen TV (Youtube)December 17, 2025
4h ago
Fyona Wanjiku Kabitta alipandikizwa figo mbili akiwa mtoto wa miaka sita na hadi sasa anahitaji figo ya tatu angalau kumpa fursa ya kuendelea na shughuli zake za kawaida. Kwa binti huyu wa miaka 21, maisha yake yamekwama baada ya kukaa nchini India kwa muda kutafuta matibabu. Hat
Advertisement
Advertisement



![| JUKWAA LA AFYA | Kudumisha afya msimu wa sherehe [Part 2]](https://static.theonlinekenyan.com/news_images/-JUKWAA-LA-AFYA-K_1765961740-16x9.jpg)
