Back to home

Hisani msimu wa krismasi Masinga

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 17, 2025
2h ago
Kina mama na wazee ambao wenye umri wa miaka zaidi ya 70 wamenufaika pakubwa kwa kupata chakula na hata pesa za kuwasaidia kusherehekea sikukuu ya krismasi kwa amani.
Advertisement