Back to home
Kenya imefikisha medali 14 katika michezo ya vijana Africa
video
K
KTN News (Youtube)December 17, 2025
4h ago
#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
Kenya imefikisha medali 14 katika michezo ya vijana kanda ya africa inayofanyika Luanda, Angola, baada ya michezo ya judo na michezo ya kushindana kwa vitara maarufu kama fencing kuongeza medali tatu za shaba. Rael
Advertisement
Advertisement


