Back to home
Safari ya Singapore ya Rais imebadilika mara tatu, upinzani yasema ni ndoto ya Ruto
video
C
Citizen TV (Youtube)December 17, 2025
3h ago
Kwa takriban miezi miwili sasa, muda ambao umetangazwa na Rais William Ruto kwa Kenya kufikia viwango vya mataifa tajiri zaidi ulimwenguni umebadilika mara tatu. Hapo jana rais ruto alitangaza kwamba kenya itakuwa imefikia nusu ya safari hiyo mwakani. Mpango huo utakaogharimu shi
Advertisement
Advertisement



