Back to home
Mkutano wa mawakili Kisii
video
C
Citizen TV (Youtube)December 18, 2025
11h ago
Chama cha mawakili na wafanyakazi wa mahakama wamejadili mikakati ya kufurusha mawakili feki miongoni mwao ili kupiga jeki muungano huo hususan wakati ambapo taifa linaelekea katika uchaguzi mkuu.
Advertisement
Advertisement





