Back to home
Mashirika yasiyo ya kiserikali yataka serikali kuchukua hatua za kujitegemea katika sekta ya afya
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 19, 2025
3h ago
Mashirika yasiyo ya kiserikali katika Kaunti ya Kilifi yameishauri serikali kuchukua hatua madhubuti za kujitegemea katika sekta ya afya, badala ya kuendelea kutegemea msaada wa wafadhili wa kimataifa, huku wakionya kuwa kupungua kwa ufadhili kutahatarisha miradi muhimu ya afya.
Advertisement
Advertisement





