Back to home
Harun Ngarariga: Miaka 20 bila kukaa chini
video
C
Citizen TV (Youtube)December 20, 2025
4h ago
Mtazamaji hebu tafakari ukiishi na ugonjwa unaokuzuia kuketi kwa takriban miongo miwili! Kile unachoweza kufanya ni kusimama au kujilaza chini. Hii ni hali halisi ya maisha ya Harun Ngarariga, mwanamume mwenye umri wa miaka 52 huko nyandarua. Harun, alipata majeraha ya uti wa mgo
Advertisement
Advertisement





