Back to home
Wataalam wa afya watoa onyo dhidi ya matumizi hatarishi ya dawa za kuongeza nguvu za kiume
video
C
Citizen TV (Youtube)December 21, 2025
3h ago
Kwa miaka mitano hivi wataalam wa afya nchini wameonya dhidi ya utumizi mbaya wa dawa za kuongeza nguvu za kiume. Hii ni kutokana na dawa hizo kusababisha madhara na hata kifo. Kwa mwaka mmoja sasa, wanaume watano wameripotiwa kufariki baada ya kutumia dawa hizo na kupata matatiz
Advertisement
Advertisement




