Back to home

Uhaba wa magari na kupanda kwa nauli waathiri wasafiri Nairobi wakati wa sikukuu

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 21, 2025
3h ago
Uhaba wa magari ya usafiri wa umma unashuhudiwa jijini Nairobi, huku wakazi wengi wakikosa namna ya kusafiri kuelekea vijijini kwa sherehe za sikukuu ya krismasi na mwaka mpya. Aidha wasafiri waliobahatika kupata magari wanalalamikia kupanda kwa nauli.
Advertisement