Back to home
Yuko wapi John Waruingi Kamau
video
C
Citizen TV (Youtube)December 22, 2025
3h ago
Familia ya John Waruingi Kamau inaishi na mahangaiko ya kumtafuta mwana wao ambayealitoweka mwezi uliopita na hadi sasa hajulikani alipo. John mwenye umri wa miaka 26 na mwenye kimo cha takriban futi 5 na inchi 9, alionekana Mara ya mwisho siku ya Jumatano, tarehe 12 mwezi Novemb
Advertisement
Advertisement









