Back to home

Shirika la Aga Khan lazindua rasmi jikwaa la 'Speaker Series'

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 23, 2025
2h ago
Shirika la Aga Khan limezindua rasmi 'Speaker Series' katika chuo kikuu cha Aga Khan,jukwaa la kielimu linalowaleta pamoja wanafunzi, wasomi, na viongozi wa maendeleo ili kujadili kwa kina changamoto halisi zinazoikabili Kenya, bara la Afrika, na dunia kwa ujumla.
Advertisement