Back to home
Mbunge John Paul, waziri Eric Mugaa waunga mkono mpango wa Ruto wa kuanzisha hazina ya miundombinu
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 24, 2025
3h ago
Viongozi wa Meru, wakiwemo mbunge wa Igembe Kusini John Paul na waziri wa maji Eric Mugaa, wameunga mkono mpango wa rais William Ruto wa kuanzisha hazina ya miundombinu, wakisema itachochea maendeleo makubwa nchini.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news toda
Advertisement
Advertisement



