Back to home

Vyama vya kutetea maslahi ya wahudumu wa afya vyaunga mkono makubaliano kati ya Kenya na Marekani

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 24, 2025
1h ago
Miungano ya vyama vya kutetea maslahi ya wahudumu wa afya nchini vimeunga mkono makubaliano ya ushirikiano wa kuboresha sekta afya kati ya Kenya na Marekani yenye thamani ya dola bilioni moja nukta sita, licha ya changamoto za kisheria. Subscribe and watch NTV Kenya live for la
Advertisement