Back to home

| MWAKA WANGU | Maziara ya Kang'o Ka Jaramogi

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 25, 2025
3h ago
Maziara ya Kang’o ka Jaramogi alikozikwa Raila Amolo Odinga huko Bondo yanaendelea kushuhudia msisimko, ngoma, densi na maombi kila siku, wiki kumi baada ya mazishi yake. Maelfu ya waombolezaji na wanaofika hapo kutoa heshima zao wamekuwa wakitumbuizwa na ngoma na nyimbo za kun
Advertisement