Back to home

Shamrashamra za Krismasi: Wakenya wafurika maeneo ya burudani

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 25, 2025
3h ago
Wakenya walifurika katika maeneo mbalimbali ya burudani kusherehekea sikukuu ya krismasi. Aidha baadhi watumia siku hii kujumuika na waliotengwa, mayatiba, mahabusu, familia za mitaani na wasiojiweza na kueneza ukarimu wa krismasi. Seth olale anaangazia mbwembwe na sherehe za kri
Advertisement