Back to home

| MWAKA WANGU | Misukosuko ya Sekta ya Afya

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 26, 2025
4h ago
Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta zilizoshuhudia misukosuko si haba mwaka huu huku migomo na changamoto za utekelezwaji wa bima ya afya ya SHA zikisalia dhahiri sehemu nyingi. Kutoka mgomo mrefu zaidi wa wahudumu wa afya katika kaunti ya Kiambu hadi tabasamu ya muuguzi aliyehudu
Advertisement