Back to home
Kocha Hugo Broos ajipiga kifua na kudai kuwa Afrika Kusini haihofii wachezaji wa Misri
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 26, 2025
3h ago
Kocha Hugo Broos amejipiga kifua na kudai kuwa Afrika Kusini haihofii wachezaji wa Misri ambao wanasakata kandanda yao Uingereza . VIGOGO HAO NI Mohamed Salah na Omar Marmoush. Broos alisema haya kabla ya mchuano wao wa Kundi BA katika Kombe la Mataifa ya Afrika leo usiku.
Subsc
Advertisement
Advertisement
