Back to home

Hali ya wasiwasi yatanda katika Shamba la Kijamii la Kibiko

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 26, 2025
3h ago
Hali ya wasiwasi inatanda katika Shamba la Kijamii la Kibiko, lililopo eneo la Ngong, baada ya mvutano mkali kuhusu usimamizi na mgawanyo wa shamba lenye ukubwa wa ekari 2,800 na thamani ya shilingi bilioni 100. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and
Advertisement