Back to home
Wanahabari waomuomboleza mpiga picha wa KTN Rashid Idi
video
C
Citizen TV (Youtube)December 26, 2025
3h ago
Mwanahabari wanaomboleza kifo cha mpiga picha Rashid Idi ambaye alifariki hospitalini Alhamisi.
Wanahabari wa runinga za Citizen, KTN na NTV walijumuika na familia ya marehemu katika msikiti wa Masjid Salama Karanja, mtaani Kibra, kabla ya kusafirishwa hadi nyumbani kwao huko Mal
Advertisement
Advertisement





