Back to home

Waziri wa zamani Chirau Mwakwere ateuliwa kuwa msemaji wa Mijikenda

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 27, 2025
2h ago
Waziri wa zamani Chirau Ali Mwakwere ametawazwa kuwa msemaji wa jamii ya Mijikenda inayojumuisha makabila tisa. Mamia ya wanajamii, wazee wa kaya na wasomi walikongamana katika boma la ronald ngala aliyekuwa waziri katika utawala wa rais wa kwanza Mzee Jomo Kenyatta huko Kaloleni
Advertisement