Back to home

Vigogo wa ODM wasema wataendelea kuunga mkono serikali

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 27, 2025
2h ago
Vigogo wa chama cha ODM wameendelea na semi za kumuunga mkono Rais William Ruto kwa muhula wa pili, wakitoa onyo kali dhidi ya wale waliosema ni mahasidi wanaojaribu kutia shubiri kwenye chungwa. Akizungumza katika eneo bunge la Suna East, kinara wa chama hicho Oburu Oginga, ames
Advertisement