Back to home
Marafiki wa Jirongo waishinikiza serikali kufanya uchunguzi wa kina
video
C
Citizen TV (Youtube)December 27, 2025
4h ago
Risala za rambirambi na sifa zilimiminika kwa aliyekuwa Mbunge wa Lugari, Cyrus Jirongo, huku familia, marafiki na viongozi wa kisiasa wakihudhuria ibada ya wafu . Wakizungumza wakati wa ibada hiyo iliyofanyika kwa heshima yake katika Kanisa la CITAM jijini Nairobi, waombolezaji
Advertisement
Advertisement





