Back to home

Safari ya Raila Odinga katika azma ya uenyekiti wa AUC

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 28, 2025
2h ago
Hayati Raila Odinga alipigania na kupoteza azma ya kuwa mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika, AUC. Shughuli nyingi za kampeni zilifanyika katika mataifa ya bara afrika kabla ya uchaguzi huo uliofanyika Februari mjini Addis Ababa, Ethiopia. Baadaye tarehe 15 Oktoba, Raila Odinga
Advertisement