Back to home
Enkusero FC washinda toleo la pili la kipute cha Kandanda ya Krismasi ya Kalanchoe, Laikipia
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 29, 2025
4h ago
Enkusero FC ndio mabingwa wa toleo la pili la kipute cha Kandanda ya Krismasi ya Kalanchoe Kaunti ya Laikipia baada ya kuifunga Eagles FC kwa penalti mabao manne kwa mawili, kufuatia sare ya bao moja ndani ya dakika 90.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news t
Advertisement
Advertisement

